Kanisa la EAG Tanzania limeanzishwa kwa lengo la kusambaza neno la Mungu, kushirikiana na jamii, na kutoa huduma kwa wanajumuiya wote. Mission yetu ni kueneza upendo, imani, na huduma kwa kila mmoja bila ubaguzi.
Huduma kwa vijana ili kukuza imani na uongozi wa kiroho.
Kujenga upendo na mshikamano miongoni mwa wanawake wa kanisa.
Huduma maalumu kwa watoto kushirikisha imani mapema.
URAFIKI, Dar es salaam, Tanzania
info@eagturafiki.gstsolutions.co.tz
+255 761625243