Kushirikisha Imani, Upendo, na Huduma
kwa Jamii yote kwa Moyo Mmoja
Kanisa la EAG Tanzania ni familia ya waamini wanaokusanyika pamoja katika imani, upendo wa kweli, na huduma kwa jamii. Kila mmoja ana nafasi ya kukua kiroho na kufanya mabadiliko duniani.
Kanisa la EAG Tanzania — tawi la Urafiki, Dar es Salaam — limeanzishwa kwa lengo la kusambaza neno la Mungu na kujenga jumuiya ya imani.
Mission yetu ni kueneza Injili, kulea waamini kupitia mafunzo ya neno, na kutoa huduma ya kimwili na kiroho kwa jamii inayotuzunguka — bila ubaguzi wa aina yoyote.
Kila ministry ina nafasi yake maalum katika jengo la Mwili wa Kristo.
Huduma kwa vijana ili kukuza imani, uongozi wa kiroho, na maarifa ya Neno la Mungu.
Kujenga upendo, umoja, na mshikamano miongoni mwa wanawake.
Huduma maalumu kwa watoto kushirikisha imani mapema.
Kutangaza Injili nje ya kanisa — mitaani, mashuleni, na katika makundi ya jamii.
Timu ya kuabudu inayoongoza kanisa lote katika wimbo na ibada ya kweli.
Maombi ya uombezi kwa kanisa, taifa, na ulimwengu.
Jiunge nasi katika ibada, sala, na ushirikiano wa kiroho kila wiki.
Matukio, ibada, na nyakati za kumbukumbu za kanisa letu.
Sikiliza na utazame mahubiri ya hivi karibuni kutoka kwa wahubiri wetu.

Jinsi ya kuishi imani yetu kila siku — si kwa maneno tu bali kwa vitendo vya kweli.

Fundisho la Yesu kuhusu kupenda jirani zetu kama tunavyojipenda wenyewe.

Tumaini letu lipo ndani ya Yesu Kristo — tumaini ambalo halidangani wala kudhoofika.
Michango yako inasaidia kuendeleza huduma za kanisa, kusaidia maskini, na kueneza Injili.
Changia Sasa"Elekea kwa Mungu, naye ataelekea kwako."
— Yakobo 4:8